Quantcast
Channel: JANJARUKA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

KUWA WA KWANZA KUSOMA WEMA AKIELEZA MANENO MAZITO KUHUSU YEYE NA DIAMOND NA KUPOST PICHA MPYA YA DIAMOND ....

$
0
0
 
http://4.bp.blogspot.com/-WB1ThhwppyI/UlkFeTL9zvI/AAAAAAAAqMw/FkQ6zy_zisI/s1600/WEMANADIAMOND1.jpgWema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu mzito ” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop ”
diamond-wema bed
Duh! kweli tuache movie iendelee….tusubiri nini kitafuata.
CREDIT : VIBE

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>