Quantcast
Channel: JANJARUKA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

MSICHANA APIGWA RISASI NA KUFARIKI PAPO HAPO ...

$
0
0
 
theclicktz.com/
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka ishirini, nchini nijeria amepigwa risasi na askari wa nchini humo na kufariki baada ya askari hao kuanza kupiga risasi ili kufukuza watu walio kuwa wakizuia zoezi la bomoa lililokuwa likiendelea katika eneo hilo. Binti aliyejulikana kwa jina la lucy alikuwa akiuza duka ambalo lilikuwa karibu na eneo la tukio na hatimaye mauti kumkuta.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>