Wasanii wetu wamekuwa wakipiga picha za robo tatu uchi ama uchi kabisa wakiwa katika sehemu tata na baadaye wanazituma mitandaoni na kwenye magazeti hili wapate umashuhuri!!!!!!!!! Ni aibuuuuuu.
Huu ni upuuzi kwa sababu hawa ndio vioo vya jamii na hivyo kuna watu wengi sana wanaiga matendo yao. Ikiwa hawajiheshimu na jamii yetu itaishia kupata vizazi vipya ambavyo hawajiheshimu pia.
Pia huu ni ushamba kwa sababu kama wewe ni masanii inatakiwa mchango wako katika jamii ndio ukupe umashuuhuri na sio mambo ya kipuuzi kama haya.