Quantcast
Channel: JANJARUKA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Mabibi na Mabwana zile video mbili mpyaaaa alizoahidi Diamond kuzitoa hizi hapa zione ....

$
0
0




mond2
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.


mondd
Hizi ni video mbili ya kwanza ni Mdogo Mdogo aliyeiongoza God Father na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria Iyanya.
Hii ni video ya Bum Bum.

Hii ni video ya Mdogo Mdogo.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>