![]() |
Manaiki Sanga alisema" Huu ni uongo uliokithiri huyu demu amewadanganya watanzania yani anasema yeye bikra? Au bikra ya wapi huenda sijaelewa mie? Lakini kama suala la mapenzi ya kawaida mimi nathibitisha kuwa hana ubikra wowote amewahi kuwa mke wangu zaidi ya mwaka mmoja na ilikuwa nimuoe kabisa lakini nilikuja kuchemka mwenyewe" Alisema Manaiki. Aidha mtandao huu ulimtafuta Diana ili kujibu hoja ya Manaiki Sanga lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani na kuwafikia wasomaji wetu makini. |
↧
DIANA KIMARIO AUMBUKA VIBAYA,HII BAADA YA KUSEMA YEYE NI BIKRA, MANAIKI SANGA ATAJA HADI ALAMA ZILIZOPO SEHEMU ZAKE ZA SIRI
↧