Hii dunia bana
ukiifuatilia vizuri utaona kama imefikia sehemu kama sodoma na gomola ilipochomwa moto. Matukio yanayotokea sasa hayana utofauti na yale ya sodoma na gomola kwa wale wanaofuatilia maandiko watakubaliana na chanzo chetu cha habari.
Kwa tukio hili sipendi mimi niongee sana ila naomba uangalie huu