$ 0 0 Jamaa mmoja alinaswa akivunja amri ya sita na mama mtu mzima kabisa yani mwenye umri zaidi ya hata mama yake mzazi maeneo fulani. Hivi jamani hii nitamaa au ni laana , Dunia inaelekea wapi..!!