Quantcast
Channel: JANJARUKA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Kanisa Lingine La Ajabu Laibuka, Sheria na Misingi Yake Yashtua Wengi.Watu Wanasali wakiwa Uchi wa Mnyama.

$
0
0

article-0-1B61B1C200000578-837_634x356


Kanisa lenye taratibu za ajabu za kuabudu limeibuka huko Virginia Marekani, ambapo waamini wake wameruhusiwa kuhudhuria ibada wakiwa uchi
kutokana na madai kuwa Waamini wa makanisa mengi sikuhizi wamekuwa wakishindana na kupeana hadhi kulingana na aina ya mavazi wanayoingia nayo katika ibada.
Kiongozi wa kanisa hili (White Tail Chapel), Pastor Allen Parker amesema kuwa ameamua kuwaruhusu waumini wa kanisa lake kuingia kanisani bila nguo ili kuweka usawa kati yao mbali na mavazi na vitu vya kidunia.
Pastor Allen pia amekuwa akisimamia mafundisho yake haya kwa kuzingatia hadithi za Maandiko Zikiwepo za Adam na Hawa kukaa uchi katika bustani ya Eden bila aibu, Kuzaliwa bila kuwa na nguo pamoja na mambo mengine yanayofanana na hayo.article-0-1B61B0F700000578-550_634x352article-0-1B61B1AD00000578-28_634x358article-0-1B61B1C200000578-837_634x356article-0-1B61B1CB00000578-444_634x356article-0-1B61B1F500000578-922_634x352
Hata hivyo, Swala la kuingia katika Kanisa hili bila nguo limefanywa kuwa la hiyari hivyo kwa wale wanaojisikia kuingia wakiwa wamevaa nguo huendelea kufanya hivyo kama kawaida.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1908

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>