Mwanamuziki Snura Mushi amefiwa na kaka yake aitwaye Joseph Mushi. Kupitia akaunti yake ya Facebook, mkali huyo wa wimbo wa Majanga ameandika maneno haya "R.I.P my brother mbele yako nyuma yetu. Msiba uko Mlandizi tunazika leo saa 10 jioni. Kaka Yusuph Mushi ni wa kwanza kuzaliwa kwa baba yangu mzee Mushi."
↧