HATIMAYE, MABESTE AAMUA KUFUNGUKA ...
Mabeste pamoja na wasanii wenzake Vanessa Mdee na Gosby imetangazwa rasmi kwamba hawapo tena kwenye lebo ya B hits music group.Mabeste ametoa ya moyoni kwamba Hermy B ambaye ni boss wa lebo hiyo...
View ArticleHIZI HAPA KAULI WALIZOZITOA PAPII KOCHA NA BABU SEYA BAADA YA RUFAA YAO...
Kwa upande wake, Babu Seya wakati akipelekwa na askari kwenye gari la Magereza alitoa kauli ambayo hakuipa ufafanuzi wowote baada ya kuisema kwamba ‘kwa binadamu ni makosa lakini kwa Mungu hakuna...
View ArticleKIOO KIPYA CHA SNURA "NIMEVURUGWA" HIKI HAPA
August 2013 ndio Snura aliishusha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni miongoni mwa single zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo November 22 2013 kaishusha...
View ArticleMWANAMKE ALALA NA MAITI YA MUME WAKE KWA MWAKA MMOJA KATIKA KITANDA...
Inakuwa ni jambo gumu sana kuliamini hasa kabla haujatazama ni nini kilicho tokeawakati huo 2012, ambapo mwanamke mmoja aliamua kulala na maiti ya mume wake katika kitanda kimoja kwa kipindi kinacho...
View ArticleHawa hapa Watu 10 kwenye picha ndio wanaotuhumiwa kumuua Dr. Sengondo Mvungi.
Majambazi kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo...
View ArticleTUKIO LA MAUAJI ILALA JIJINI DAR CHRISTINA NEWA APASUA JIPU
Christina Newa akisimulia mkasa mzima wa tukio la mauaji hayo yalitokea Novemba 19 Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam baada ya mpenzi wake Gabriel Munisi kuwashambulia kwa risasi ndugu wa familia moja...
View ArticleMH. LOWASSA AACHA GUMZO KIGAMBONI JIJINI DAR
Umati wa Wakazi wa Mji wa Kigamboni,jijini Dar es Salaam wakiongoza Msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa...
View ArticleMR BLUE AINGIZWA MATATANI
Hitmaker wa ‘Mapozi’ Mr. Blue aka Kabayser anatafutwa na polisi wa Kenya kwa Utapeli.Msanii huyo anatafutwa kwa shutuma za kushindwa kutokea kwenye show aliyokuwa amesaini mkataba huko Mombasa, Kenya....
View ArticleSAJNA AKUMBWA NA BALAA NDANI YA TETEMESHA RECORDS
Studio za Tetemesha zilizokuwa na makazi yake jijini Mwanza na kuhamishiwa Dar es Salaam hivi karibuni, zimesitisha kufanya kazi na hit maker wa Iveta Faraji Twaha aka Sajna.Akiongea na tovuti ya Times...
View ArticleWIMBO WA MATUSI WA STL NA COLLO WAZUA JAMBO
Kuvuja kwa wimbo wa kwanza mchafu wa Kenya, ‘Kudinyana’ wa Collo na Stella Mwangi aka STL kumeendelea kuleta shida.Wimbo huo ulirekodiwa kwenye studio za Bernsoft na kuwekwa mtandaoni wiki moja...
View ArticleP SQUARE WALIVYOFUNIKA MBAYA LEADERS CLUB USIKU WA KUAMKIA LEO
PICHA ZOTE KWA HISANI YA GPL
View ArticleIZZO B AKUMBWA NA BALAA LA KUKOMBWA KILA KITU ... ISHU NZIMA HII HAPA
Rapper Izzo Bizness asubuhi ya leo ametoa taarifa kuwa internet cafe yake iliyopo Mbeya eneo la chuo cha TEKU imevunjwa na wezi na computer sita zimeibiwa. Ameomba raia wa Mbeya kutoa taarifa...
View ArticleKenya yaamua kuwadhuru Watanzania ..... Mtanzania mwingine avamiwa na...
HUYU NI MTANZANIA ALIYEVAMIWA HAPA NAIROBI NA KUUMIZWA VIBAYA HAPO JANA NA AMEJITAMBURISHA KWA POLICE WALIOMUOKOTA KAMA DR.JUMA MALIKI .TUNAPENDA KUWAOMBA YEYOTE ANAYEMFAHAMU AWASILIANE NA NA NDUGU...
View ArticleSNURA MUSHI AFIWA NA KAKA YAKE
Mwanamuziki Snura Mushi amefiwa na kaka yake aitwaye Joseph Mushi. Kupitia akaunti yake ya Facebook, mkali huyo wa wimbo wa Majanga ameandika maneno haya "R.I.P my brother mbele yako nyuma yetu. Msiba...
View ArticleJIONEE MWENYEWEEEEE MWANAMKE ANAYEFANYA MASSAGE KWA KUTUMIA MANYONYO YAKE...
Ama kweli kuna watu wanajua kuziona na kuzitumia fursa, mwanamke mmoja huku majuu ajulikanaye kama Kristy Love amepewa Cheti cha kutambulika cha CMT (Certified Massage Therapist) kwa ajili ya watu...
View ArticlePICHA ZA KIMAHABA ZA WASTARA ZAZUA UTATA...ZICHEKI HAPA
PICHA za aliyekuwa mke wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Wastara Juma akiwa na mwigizaji Bondi bin Salim ‘Bond’ zimezua utata ambao unakazia ukweli wa taarifa ya kuwa wawili hao ni...
View ArticleHAWA NDIYO WAIGIZAJI WAZURI NA WENYE MVUTO ZAIDI HAPA BONGO..!! SOMA HAPA..!!
Kiwanda cha filamu Tanzania kimezalisha waigizaji wengi wenye majina makubwa sasa. ifatayo ni orodha ya waigizaji 10 wakike wenye mvuto na kuvutia zaidi kati ya wengi waliopo Irene UwoyaFilamu...
View ArticleDIAMOND ATANGAZA AJIRA KWA VIJANA..
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa...
View Article