"NIPO RADHI KUBADILI DINI ILI NIOLEWE NA HUYU MKAKA".....DIVA WA CLOUDS FM
Mwanadada mtangazaji Diva aka the Bawse, yupo tayari kubadili dini ili aweze kuolewa na mwanaume aitwaye Omar Borkan, na wala mtangazaji huyo hatojali hata akiwa mke wa ngapi, ilimradi aolewe na...
View ArticleAY AVUTA SHEM MPYAAAAAAAA
AY akiwa na mchumba wake, kwenye red carpet ya show yake ya Road to CHOAMVA 2013, Club Bilicanas Jumapili iliyopita
View ArticleBERRY WHITE ALICHOMA MOTO GARI LA MPENZI WAKE .. ISHU NZIMA HII HAPA
Artist Berry WhiteArtist anayewakilisha Zenji ktk game ya bongo flava Berry white inasemekana amelichoma Moto garI la mpenzi wake na Gari Hilo likateketea kama unavyoona hapo, kwa mujibu wa cha chanzo...
View ArticleDALALI MAARUFU APIGWA RISASI SEHEMU ZA SIRI
Dalali Paulo Charles Bundala akiwa hospitali baada ya kupigwa risasi.MASIKINI! Dalali maarufu, mkazi wa Mabibo, Dar, Paulo Charles Bundala anadaiwa kupigwa risasi wakati akiuza nyumba.Huku akiwa hajui...
View ArticleMAMA NA MWANAYE WA MIEZI MINNE WACHOMWA MOTO MPAKA KUFA
Katika hali isiyo ya kawaida Majeshi ya ugaidi huko Nigeria yaliweza kuvamia kijiji na kusabisha mauaji makubwa, kati ya tukio ambalo linasikitisha ni pale ambapo walimkamata mama mmoja na kumbaka na...
View ArticleNGOMA MPYA WA NAY WA MITEGO HII HAPA.ANAKWAMBIA ANAKULA UJANA.
Kuwa wa kwanza kusiikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Nay wa Mitego "Nakula Ujana". Ngoma imefanyika pale MJ Records bit ikinyongwa na Producer Marco Chal.Â
View ArticleHawa ndio wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha 2012-2013.
List mpya kutoka Forbes inahusisha wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha June 2012 hadi June 2013 ambapo pesa hizo zinatokana na mauzo ya album,show(tour) na vitu vingine.Wakongwe bado...
View ArticleMAJERUHI MWANAUME ALIYEPIGWA RISASI JUZI MAENEO YA ILALA AFARIKI DUNIA.
Marehemu Francis ShumiraMAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam jana amefariki dunia leo asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa...
View ArticleDENTI WA KAPUYA ASHIKWA PABAYA
 Na Waandishi WetuGlobal Publishers Ltd ilipoamua kufuatilia sakata la denti anayedai kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Juma Athuman Kapuya, lilijua yapo mengi yatajitokeza, Amani lina jipya...
View ArticleWEMA SEPETU MAMBO YAMWENDEA KOMBO
Ule msala wa kesi yake ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumtandika makofi meneja wa hoteli moja iliyopo Mbezi Beach, Dar, Goodluck Kuyumbu inayomkabili Wema Isaac Sepetu, unatarajiwa kutolewa...
View ArticleVIJANA WAJISEVIA DADA MWIZI WA SIMU LIVE YAANI
Dada huyu baada ya kustukiwa ameiba simu aina ya blackberry alivuliwa nguo na kuanza kuchezewa maziwa hadi asema alipoiweka simu hiyo huku akilia
View ArticleMWANAMUZI WA BENDI YA FM ACADEMIA APOTEZA MAISHA CHINA KUFUATIA KUKAMATWA NA...
KUMRADHI KWA MUONEKANO WA PICHA HII.MWANAMUZIKI aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata...
View ArticleMIFUGO YAMPONZA AOTE MANYONYO
A 40-year-old man from Nherera in Mhondoro, Zimbabwe suddenly grew breasts after he allegedly stole and sold some cattle.The Villagers believe the man identified as Acry Chinhivi Shayamano has been...
View ArticleHatimaye video ya Diamond yaanza kurushwa kwenye channel za kimataifa
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa...
View Article