MKE ANUNUA TALAKA KWA MILIONI 4
Stori: Mayasa MariwataUNAWEZA kusema ni jeuri ya fedha baada ya mwanamke, Rukia Apach kukubali kulipa shilingi milioni 4 ili apewe talaka na mumewe, Mohamed Kismati baada ya kuzuiwa kufanya kazi na...
View ArticleMASOGANGE ADAKWA
Stori: Gladness MallyaVIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye alipata soo la kukamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini amejaa tele...
View ArticleWOLPER AELEZEA ALIVYOFILISIWA
Stori: Mwandishi WetuNYOTA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa filamu yake aliyoitoa kumuenzi marehemu Steven Kanumba iitwayo After Death ilimlostisha kwa kuwa ilimpatia hasara...
View ArticleRAY NA CHUCHU HANS WAFUMANIWA LIVE
Stori: Gladness MallyaAMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri...
View ArticleMAKUBWA HAYA .... MKE ANAISHI NA WANAUME WAWILI CHUMBA KIMOJA
Stori: Gladness Mallyana Hamida Hassan DUNIA ina kila kituko, kama hujawahi kukisikia omba Mungu akupe uzima! Mama mmoja, aitwae Elizabeth Selestine, mkazi wa Kigogo-Mburahati, Dar hivi karibuni...
View ArticleDAZ BABA AWE FUNZO
UNALIKUMBUKA vizuri lile kundi la wale vijana wa Temeke, Daz Nundaz? Nini TMK Family, hawa madogo walikuwa balaa. Kamanda ndiyo ulikuwa wimbo wao maarufu zaidi na uliotikisa anga lote la Bongo...
View ArticleJAMANI WASOMAJI WANGU TUMASAIDIE HUYU DADA USHAURI, KANUNULIWA GARI,...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar Es Salaam nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi...
View ArticleHII HAPA KAULI YA DIAMOND JUU YA NAFASI ZAKE ZA AJIRA NA KILE KINACHOENDELEA...
Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa juzi,mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma email zao pamoja...
View ArticleFAT JOE ATOKA JELA
Rapper Joseph Cartagena aka Fat Joe ametoka jela jana (November 28) alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi minne kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi.Joe (42) jana alipost video instagram...
View ArticleIFAHAMU VYEMA BAJAJI INAYOZUNGUKA DUNIA NZIMA
Watanzania wengi tunafahamu Bajaji ni usafiri wa hapa na pale tu, yani sio usafiri wa kubeba abiria kwenye masafa marefu lakini Walimu wawili raia wa Uingereza wamekipiga kibajaji gia na kupita nacho...
View ArticleHuyu ndio mrembo wa Kitanzania alietangazwa mshindi wa taji la “Miss...
Mtanzania, Malkia Kassu ( wa tatu toka kushoto) akiwa na washindi wenzake – wote wamevalia taji na kubeba vikombe vya ushindi.Mashindano ya 2013 yalifanyika London Jumamosi Novemba 26 na kwa mara ya...
View ArticleUKISIKIA DARASA LA WAKUBWA NDIO HILI..!MPENZI WAKO YUPO MBALI NA...
KAMA WEWE BADO HUJAJIUNGA NASI, UNAWEZA KUJIUNGA HAPA MOJA KWA MOJA ONLINE ((BOFYA HAPA LIKE PAGE UJIONEE))Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na...
View ArticleWEMA AMUANZISHIA TIMBWILI JIPYAA
Stori: Imelda MtemaBEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza habari mpya kama kawaida yake. Safari hii amemuanzishia timbwili zito fundi wake aliyefahamika kwa jina moja la James.Wema Isaac...
View ArticlePENNY ASUMBULIWA NA GONJWA LA AJABU, APUNGUA GHAFLA
Stori: Imelda MtemaMTANGAZAJI wa Runinga ya DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameamua kujikondesha mwili ambapo amefanikiwa kupoteze uzito usiopungua kilo 18 mwilini.Akizungumza na Weekly Star Exclusive,...
View ArticleMCHUNGAJI GWAJIMA ALISHWA SUMU
Stori: Chande Abdallah na Jelard LucasSIKU hizi uovu hauchagui pa kutua, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejikuta katika hali mbaya baada ya kulishwa sumu na mtu mwenye nia...
View ArticleBREAKING NEWSSS .... MWANAMUZIKI TABU LEY AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki mkongwe wa Congo, Pascal Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa katika hospitali ya nchini Ubelgiji.Kwa mujibu wa mwanae Charles Tabu, aliyeongea na Radio Okapi,...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ!!:- SUPER STAR SINGER TID ATUPWA RUMANDE TENA. KISA HIKI HAPA...
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana...
View Article