Hivi ndivyo Emmanuel Msuya alivyozoa Milioni 50 za Ebss ... Mpango mzima upo...
Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye ukumbi wa Escape 1.Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na...
View ArticleTANZANIA YAZIDI KUPETA TUSKER PROJECT FAME
Mshiriki toka Tanzania anayetuwakilisha kwenye mashindano ya Tusker project fame amefanikiwa kusonga mbele kwa mara nyingine baada ya kuwa kikaangoni yeye pamoja na washiriki wenzake wote ndani ya...
View ArticleHII HAPA LIST KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA CHANEL O "CHOAMVA2013" HII HAPA...
Most Gifted Kwaito Music Video ProfessorMos Gifted African South OskidoMost Gifted R&B Music -Banky WMost Gifted Ragga/Dancehall P-UnitMost Gifted West African Music Video- P-SquareMost Gifted...
View ArticleONA MATUKIO ZAIDI 200 YA KILICHOJILI KATIKA FAINALI ZA EBSS 2013 ... ILIKUWA...
Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya. Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza wimbo wake wa 'Nimevurugwa'.…Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza...
View ArticleMwigizaji PAUL WALKER wa Marekani afariki dunia kwenye ajali mbaya ya gari....
Muigizaji Paul Walker , anayejulikana sana duniani kwenye uigizaji kupitia filamu za Fast and Furious , amefariki katika ajali ya gari.Ajali hiyo imetokea katika eneo la Santa Clarita, kaskazini ya...
View ArticleJACKLINE WOLPER ATOKWA NA MACHOZI, KISA MAPENZI
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano...
View ArticleKWA WADADA:DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA KWA DHATI HIZI HAPA
ANAVYOKUTAZAMAMwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni...
View ArticleKAULI YA BEN POL BAADA YA MSHINDI WA BSS WA MWAKA JANA NA MWAKA HUU KUIMBA...
Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho...
View ArticleMSANII TIMBULO ANASWA AKIFANYA UCHAFU HADHARANI BILA AIBU...MTAZAME HAPA, NI...
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya MAPENZI na chipukizi wa filamu Isabela Francis,tukio hili lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya...
View ArticleTAZAMA HATUA KWA HATUA JINSI SUPERSTAR PAUL WALKER ALIVYOPOTEZA MAISHA KATIKA...
Wapenzi wa movie za The Fast and the Furious watakuwa wanamfahamu Paul Walker vizuri ambapo ameshiriki kikamilifu kwenye movie za Fast and Furious.Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao hadi ku-trend...
View ArticleA-Z FAINALI ZA EBSS .... ILIKUWA FUNGA KAZI
Stori: Waandishi WetuBWA’ MDOGO aliyesafirishwa kutoka Jiji la Miamba (The Rocky City) a.k.a Mwanza, alidhihirisha kwamba yeye ni funga kazi baada ya kung’ara zaidi na kufanikiwa kujimilikisha kitita...
View ArticleNJEMBA APOTEZA FAHAMU BAADA YA KUIFAKAMIA MIZINGA MINNE
Stori: Chande Abdallah na Denis MtimaAMA kweli pombe si chai! Njemba mmoja, Mwala Kibodi a.k.a Chegge (22) amejikuta akiwa ‘amevurugwa’ na kuzimia mtaroni baada ya kudaiwa kunywa mizinga minne ya...
View ArticleHADIJA KOPA AVAMIWA
Stori: Hamida Hassan na Gladness MallyaMASKINI! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa...
View ArticleJACK AMKANA JUX
Stori: Hamida HassanMWANAMITINDO maarufu nchini, Jack Patrick amemtetea msanii Juma Khalid ‘Jux’ kwa kusema ni marafiki wa kawaida na kukanusha taarifa za uhusiano wa kimapenzi zilizozagaa.Jack akiwa...
View ArticleHAYA HAPA MAMBO MAKUU MUHIMU 4 YA KUFANYA BAADA YA KUFANYA MAPENZI .... NI...
NASHUKURU Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia. Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana...
View ArticleAY AANGUKIA PUA TENA
Jumamosi ya November 30, tuzo za 10 za video za Channel O aka CHOAMVA zilitolewa huko Kliptown, Soweto (Johannesburg) nchini Afrika Kusini.Mwaka huu ni AY pekee ndiye alikuwa msanii wa Tanzania...
View Article